Ushuhuda wetu Na. Mwj. Nancy Mshumbuzi Ibada ya II
00:00
00:00
Embed Code (recommended way)
Embed Code (Iframe alternative)
Please login or signup to use this feature.

Tunakuletea tena "MANA" ya siku ya leo Jumapili ya tarehe 30 Oktoba 2016 kwa njia ya sauiti. Leo ni siku maalumu ya moja ya kwaya zetu hapa kanisani, Kwaya ya Hosana, na mahubiri ya siku ya leo yametolewa na Mwilisti Nancy Mshumbuzi, karibu turafakari pamoja. Niwatakie siku njema na yenye baraka ya leo, Mungu awatunze, Mungu awalinde na Mungu awape kibali cha kimbingu (divine favor) kwa ratiba na mipango yako ya leo

Licence : All Rights Reserved


X