Lawize awalalamikia tip top
00:00
00:00
Embed Code (recommended way)
Embed Code (Iframe alternative)
Please login or signup to use this feature.

Mambo vipi ndugu zangu?Wiki moja iliyopita nilimrekodi huyo dogo anaitwa Lawize akiwalalamikia Tip top Connection kwa kumuibia wimbo wake.Nadhani mmeishasikia wimbo wa Tup top uitwao Goma la Manzese sasa dogo kaamua kutoa wimbo wake huu akimshirikisha Tundaman.Tafadhali tumpe sapoti sana na pia nimeambatanisha na interview ambayo nimemrekodi akizungumzia sakata zima

Licence : All Rights Reserved


X