Upload Cover
About:

Let’s Talk Radio show is a Tanzanian centered radio show produced and hosted by Rumishael Ulomi popularly known as RyChris the people's Mc. It is a Swahili show that is aimed at impacting communities by bringing in topics that are touching our day to day activities on a daily basis. Whether it's the news, health, technology and the social life, you get to hear what matters right here. The show sometimes incorporates both Swahili and English depending on the theme of the day, but most of the contents are delivered in the local Swahili language. Let's travel together with a positive mood to achieve better and sustainable life. Most of what is covered here are topics that directly impact the communities we live it. Don't miss an episode.

Rumishak`s Uploads

 • Gumzo la siku: Sector zilizopewa kipaumbele kwenye bajeti
  Gumzo la siku: Sector zilizopewa kipaumbele kwenye bajeti Katika Gumzo la leo tunaongelea kuhusiana na Bajeti na sector ama wizara zilizopewa kipaumbele. Pia tunaangalia makampuni ya masaliano Tanzania na wajibu wao katika kuwasilisha huduma zilizo na hadhia, na pia tahadhani kwa yale makampunti yatakayokiuka maagizo ya serikali katika kutoa huduma ya mawasiliano.
  rumishak 00:09:07 635 0 Downloads 0 Comments
 • Gumzo la siku: Wabunge hewa na watoro wakomeshwa
  Gumzo la siku: Wabunge hewa na watoro wakomeshwa Baada ya wabunge kadhaa kuudhuria bunge kwa kusaini na kukacha miswada mbalimbali bungeni hapo, sasa wabunge watoro na wale wanaoamimika kuwa wabunge hewa kukomeshwa. Wananchi hawajakupa dhamana ya kwenda bungeni kususia miswada bali kushiriki na kuleta mabadiliko. Sikiliza yote hapa.
  rumishak 00:10:00 137 0 Downloads 0 Comments
 • Gumzo la Wiki - Yoweri Museveni amteua mke wake kuwa waziri
  Gumzo la Wiki - Yoweri Museveni amteua mke wake kuwa waziri wananchi wa Uganda na wadau mbalimbali ulimwenguni kote, nah ii Gumzo la wiki hii limezuka baada ya Raisi wa Uganda Yoeri Museven kemteua mke wake Janet Museven kuwa miongoni mwa mawaziri 81 walioteuliwa na kutangazwa na raisi huyo hivi karibuni.
  rumishak 00:03:49 150 0 Downloads 0 Comments
rumishak
 • rumishak
 • profile viewed 795 times
 • message share profile
Who to Follow
X